Mapenzi ya siku hizi yana mtazamo wa tofauti na yale ya zamani.
Mapenzi ya zamani mtu alikuwa yuko radhi kufanya lolote kuhakikisha anamuonesha mapenzi ya kweli yule mpenzi wake kwa hali yoyote nikimaanisha maskini au tajiri lakini kwa sasa ni tofauti kabisa.
Mwanaume au mwanamke kwa enzi za sasa anaangalia je yule ninayekwenda kumpenda ana hela,so siku hizi kigezo cha mapenzi ni pesa mambo mengine baadae japo kuna wachache wanaopenda kikweli bila kuangalia hali ya uchumi.
Kwa hiyo hebu tujaribu kuangalia na kujifunza mapenzi ya zamani yalikuwaje na walikuwa wanafanyaje ili tuweze kupendana kufuatana na mila na desturi za taifa letu.