Mapenzi ya Mitandao; bibi harusi aingia mitini siku ya harusi

narumuk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
2,963
Reaction score
3,597
HII Baada ya aliyekuwa Bwana Harusi mtarajiwa, Omary Hamisi, mkazi wa Buguruni jijini Dar, kupigwa changa la macho na Bi Harusi mtarajiwa wake, Aisha Muhammed na kujikuta akibaki na Shehe na kundi la Ndugu na jamaa zake waliomsindikiza kwenda kuoa huku Bi Harusi akidaiwa kuingia mitini.

 
Kweli maajabu hayaishi duniani. Utapeli mwingine haufai
 
I will never[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…