Hongera,ila hala hala yasije yakakutokea puani....anyway ngoja mi niendelee kumsubiri wangu atokezee 🙂 !!
Habari wana jamvi...kuna siku niliwah kupost kuhusu kuwa na jamaa ambaye nlmpenda lakin yeye hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu.Leo nmekuja kwenu kuwashuhudia kuwa wapo wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujua thamani ya mwanamke,kuna kijana nipo nae kwa sasa ambaye alionyesha kunipenda toka tuko wote chuo kikuu japo tulikuwa kozi tofauti hakuonyesha kuchoka kunipenda n hata nlipokuwa naumizwa na maisha yeye alikuwa nami kwa zaidi ya miaka miwili alinivumilia,hakupenda aone machozi yangu lakini mimi sikuwa tayari kumpa moyo wangu.Toka nimpe moyo wangu amekuwa furaha kwangu,yan ananijali hadi nashangaa nlkuwa wapi siku zote,ananipa chochote hata bila kuomba nami zawadi kubwa ni kumpa penzi la dhati na la kweli. USHAURI: Wasichana mnaotendwa kwenye mapenzi msife moyo ipo siku mtakutana na wanaume sahihi kwa maisha yenu,endeleeni kuomba Mungu.
Hebu twende taratibu kwanza. Umeshampa mzigo?
Huo tena? wakat ashasema zawad yake kubwa ni kumpa penz la dhat! me nadhan mzigo unapigwa fresh tu
we lakukera nini kwani si utanganze lako,ka huna kaa kimya tu!!hili tangazo umelipia?? :biggrin1:
we lakukera nini kwani si utanganze lako,ka huna kaa kimya tu!!
Hilo nalo lilikuwa lakuuliza?:thinking:kuuliza haimanishi nimekereka..usimwage povu dada:biggrin1:
hivi wanaume huwajui eeeh! utashangaa siku ya siku anakuwa kama nyati!
Hilo nalo lilikuwa lakuuliza?:thinking:
Poa usijali ubaki salamia:yield::closed_2:lets agree to disagree my dearest frendoooo...am in a really good mood...i hope you too..sitaki tukwaruzane wanguuuu
au thiyooo /////
nsamehemeee mwaya i take it back>>the dirty accusation i made earlier:A S thumbs_up:
Hongera,ila hala hala yasije yakakutokea puani....anyway ngoja mi niendelee kumsubiri wangu atokezee 🙂 !!