kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
- Thread starter
-
- #21
ndo bwana wako alikupia talaka huko licha ya kuwa mkarimu??
Sina upendo wa kijinga tena yani sasa hivi nakiwekea ugumu kweli kweli
Huo ndio msimamo wa kiume
Kazingua piga chini vuta mwingine
Fullstop
Ee baby genye tena ghafla na nimetoka kukupakua mdu si mrefu?
Tena nimekufumua mpaka marinda na g sport nimeipiga kiufasaha genye tena zimejaa?ngoja nije nikupe mambo tena
Thread zenu zinamchosha chuma. Mwanamke mpe hela mt.....mbe vizur, mjali ivyoo tu. Ukimzingua atalia mpaka machoz yajae kitoto ndoo.
Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako mzazi tu
Sina upendo wa kijinga kila siku kumwaga chozi kama miaka ile ya zamani
Bali nina upendo wa kibishi demu akizingua kwangu sina mda wa kumbembeleza hata kidogo
Zamani ukimzingua demu analia wiki nzima sio miaka hii ya leo
Tena siku hizi ukimzingua wewe mmoja wapo kumi wa kumsaidia mpaka kumla
Anayebisha aje abishe kwa hoja.
Karibuni!
‪
Aahhh ahhh thanx yani huu usemi jana mwanangu wa kike huwa anapenda sana kuniambia! Upendo wa kweli upo Kwa mama tu
Poa mkuu huo ndio ukweli
Everlenk!! Halafu wewe pacha wake Miss Chagga eti? Au macho yangu Tu?
Mtu anaejiamini hana haja hata ya kuja kuandika thread hapa JF .......
Achana nae huyo dogo!
Umeona ehhhh??? Tena huyo mama yake anayemsifia akiambiwa mtukane mama yako anamtukana huku wazungu wakitoka na mitusi juuuuuu!!!!! Chezeiya papuchi wewe!!!'!!!
Sina upendo wa kijinga tena yani sasa hivi nakiwekea ugumu kweli kweli
kupenda haijawahi kua ujinga, angalia katika mapenzi unatumia kichwa kipi
Mapenzi ya ukweli bado yapo jamani...!!
Ni vile tu hujabahatika kukutana nayo.. Polee !!