Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,825
Jifunze Kiswahili basi, Nashindwa kusoma hata madudu yako haya!

Jifunze Kiswahili basi, Nashindwa kusoma hata madudu yako haya!

Hahahahah endelea kuwaonyesha kua " Kicheche ni bonge la mwanamke"Yani hawa mbona wataelewa,mkuu subiri ataleta feedback yeye mwenyewe kama alivyoleta ushuhuda hapa
Subiri kwanza,huyu alieandika chefuuuu ni mwanaume au mwanamke?Wakuu salaam!
Kwa tamaduni zetu za kiafrika asee hii wanaume wengi wenye rangi ya lami inatupa tabu sana.
Sasa Kuna kajamaa kamehamia mtaani kwetu ukweli kajamaa kanatucholesha sana kwani kana tabia njema na heshima kwa wakubwa sio kalevi .
Katika pita pita Kakamkamatia penzini kicheche mtaa wa saloon ,tatizo jinsi kanavyojua kujionesha kanatembea kamemshikia pochi na mkono barabarani ,hakana muda na wanaume wenzie kila saa na kademu kake.
Kwenye birthday yake mwanzo wa mwaka kalishusha bonge la part na surprise ya I phone 7 ooh come ooon,halafu mara kamlishe mara kamfute jashoo cheeefuuu.Tulitabiri hii makitu huwa hazidumu ahh asee dogo kaamua kutuprove wrong ,this guy must be from alien world.
Wakuu hii sio itamfanya dogo aje jiua maana kalilea vizuri Toto limenona balaa .
Wanaweza wakaacha mademu zao wakaanza tafuta vicheche na waoHahahahah endelea kuwaonyesha kua " Kicheche ni bonge la mwanamke"
hahaaa. nasubiri mrejeshoSubiri kwanza,huyu alieandika chefuuuu ni mwanaume au mwanamke?
hahaaaAsee mbona unakuja kumwaga siri zangu humu jamvini.
Milele amina mkuuMkuu Tumsifu Yesu Kristu!
Hahahaua wakitafuta watakua mboga za majaniWanaweza wakaacha mademu zao wakaanza tafuta vicheche na wao
Mwanamke huyu, si kwa maneno hayaSasa wewe ni mwanamke au mwanaume .?
KeSamahani Mkuu wewe ni Ke au Me
Tunapata tabu sana lakin tusikate tamaa ,ila akimuacha tu huyu demu ,nakamata nakaoahahaaa kawanyoosha kweli kweli" mamaee",wambea wote macho yamewatoka Kama mjusi kabanwa na mlango"... mlidhani jamaa ataachana na manzi wake lakini wapi" ndio kwanza kama coca cola imetikiswa hivi halafu ikafunguliwa kisoda
hahaa mezeni nyembeTunapata tabu sana lakin tusikate tamaa ,ila akimuacha tu huyu demu ,nakamata nakaoa