The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,083
- 14,565
Wakuu salaam!
Kwa tamaduni zetu za kiafrika asee hii wanaume wengi wenye rangi ya lami inatupa tabu sana.
Sasa Kuna kajamaa kamehamia mtaani kwetu ukweli kajamaa kanatucholesha sana kwani kana tabia njema na heshima kwa wakubwa sio kalevi .
Katika pita pita Kakamkamatia penzini kicheche mtaa wa saloon ,tatizo jinsi kanavyojua kujionesha kanatembea kamemshikia pochi na mkono barabarani ,hakana muda na wanaume wenzie kila saa na kademu kake.
Kwenye birthday yake mwanzo wa mwaka kalishusha bonge la part na surprise ya I phone 7 ooh come ooon,halafu mara kamlishe mara kamfute jashoo cheeefuuu.Tulitabiri hii makitu huwa hazidumu ahh asee dogo kaamua kutuprove wrong ,this guy must be from alien world.
Wakuu hii sio itamfanya dogo aje jiua maana kalilea vizuri Toto limenona balaa .