Mapenzi ya kufungwa mnyoror yananitatiza, msaada jamani.

Mfano uliotoa ya mbwa na story yenyewe mbona haviendani?

Bishanga hii stori inaendana kabisa na mfano wa mbwa mkali. Mbwa ni kiumbe rafiki hata akiwa mkali na unapoanza kumuogopa basi mkimbie moja kwa moja lakini unajidai kumfanyia wema huku ukiwa mbali nae? Kama msichana anataka kupenda kwa nini apende akiwa mbali asimpende mtu wakati akiwa karibu nae? After all mapenzi ni ukuruba!
 
Back
Top Bottom