"Kama mwanamke unaongea nae vizuri, humtukani, humfokei kwanini akukatae?"
Hayo sio maneno yangu bali ni mjomba wangu flani ambaye ni mkali wa hizi kazi πππ!
Huwa nayatafakari sana naishiaga kucheka tu. Yana maana kubwa sana hata kwetu mi nawewe sweetie!π