Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Ningekua mwaanaume ningeopt number 2
Kipi bora upate mke msafii anaejua kusafisha nyumba na kutunza mazingira lakini kitandani mvivu,au upate mke mtundu kitandani 100% na anajua kupika balaa ila linapokuja suala la usafi ni 0 hajui hajui kutandika kitanda wala kudeki nyumba.....
Bora wa 2,usafi nitamsaidia.Roho iridhike kuliko kwenda njee kupata satisfication
Hili huwa linafunika mabaya yote, hata kama anasura kama anakamua kinyesi lakini atapendwa kwa ajili ya hapo, mengine tunavumiliana tu, na yanavumilika, hata nyumba duchu unasahau.
Aa wapi!
Kwangu nataka sifa hizo mbili awenazo zote! Na ikikosekana moja tu hapo sioi!!!
Mambo ya uziguani hayo....siku hizi zile ndude haziwekwi tena kwenye kisosa zabebwa kwa ulimi....
ukishampenda mtu huoni kasoro zake,ikilazimu zionekane ni katka mtizamo positive na wa kurekebishana!
Ningekua mwaanaume ningeopt number 2
Kazi ya mke ni kufanya usafi?Ndiyo maana ndoa zenu masharobaro hazidumu!
Bible inasema "nendeni mkaijaze dunia"na hakuna sehemu maandiko yanasema" enenda mwanamwali ukaolewe kwa sababu ya kufanya usafi"