kamati yamaamuzi magumuu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 227
- 263
- Thread starter
-
- #41
Kamati ya maamuzi magumu imeshindwa kufanya maamuzi magumu.
Wale wote mdogo wangu. Ukiwala wote utapata uzoefu na utapunguza kuomba ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutojali endelea na huyo mrembo.
Hao wengine rafiki zake achana nao.
Ukifanya tamaa, utaumizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
una biashara gani hapo chuoni dogo?
ushauri wangu usihonge hela ya biashara, utafirisika
Sent using Jamii Forums mobile app
una biashara gani hapo chuoni dogo?
ushauri wangu usihonge hela ya biashara, utafirisika
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera sana dogo, jikeep busy kutafuta hela , kwa umri huo hayo mambo utayakuta tuNinauza viatu special na mtumba grade 1,pamoja surual&nguo zawadada
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela, tafuta hela nasema tena tafuta hela, hao wadada wanataka pa kuponea shida zao asa wewe kurupuka utajutraaaa hiyo capital ya 1.5 millions utaisikia tu
Jiulize kwa nn hawakuja kipindi huna mradi utajua la kufanya
Uko kamati ya maamuzi magumu, unashindwaje kufanya maamuzi magumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera sana dogo, jikeep busy kutafuta hela , kwa umri huo hayo mambo utayakuta tu
Sent using Jamii Forums mobile app