Mapenzi, upendo

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu nimejitahidi kufikiri juu ya hii dhana cjapata majibu, hivi what is the source ya mapenzi baina ya ke na me
 
Not clear, kuna haja ya kuchambua biologically
 
Tumuulize Mungu alipomuumba Adam kisha Eva alikuwa na maana gani?
 
We can learn from experience coz watu washafanya research juu ya haya mambo. Kinachohitajika ni kwa mwenye uelewa aijuze hadhira then maisha yanaendelea.
 
I am here babe...talk to me...no matter how far you go ...I am thinkin of you all the time...

Jamani unanipagawisha na kunirougarouga na maneno yako matamu. Ndio maana sikuachi ng'o hata uwe na michepuko mia.
Love u zingi zingi (sauti ya binti wa snowhite)
 
Last edited by a moderator:
Jamani unanipagawisha na kunirougarouga na maneno yako matamu. Ndio maana sikuachi ng'o hata uwe na michepuko mia.
Love u zingi zingi (sauti ya binti wa snowhite)
Am all yours dear..
 
Last edited by a moderator:
Swali rahisi ila gumu wakati huo huo
 
chanzo ni maisha magumu jinsi ya kupata faraja ndo tukatunga kupendana ila ni kusaidiana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…