Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
HATIMAYE UKWELI UMESEMWA!Ifikie wakati wanaume tujitambue tusiendeshwe na mihemko ya wanawake . Mwanamke anataka ushinde juu ya kifua chake zaidi ya masaa matano kwani sisi ni PUNDA nauliza??
Kila mbuzi ale Kwa urefu wa kamba yake.Wanaume wanaruhusiwa kufanya mapenzi Kwa jinsi watakavyotaka wao.Kama ni goli Moja chalii Kisha pumzi inakata na unapitiwa na usingizi mzito Wala sio kasoro Bali ni kawaida furahia usikubali mwanamke akufanye PUNDA kitandani.
Mapenzi ni hisia na furaha .Kama unaweza kwenda zaidi ya goli Moja nenda Kwa hiari Yako ila usilazimishwe na Mwanamke Kwa kufuata mihemko yake.Usikubali kuchoshwa BIla sababu ya msingi.Cha msingii muandae vizuri kisha maliza haja zako Kwa furaha.Malizia na usingizi mzito.
##MAPENZI SIO KUCHOSHANA NI STAREHE.
Bi Aksha tunaomba mwongozo bila shaka utakuwa kungwi kwenye hii sekta [emoji2960]Hebu tulia kwanza, kunywa maji kisha tusimulie vizuri kimekusibu kipi?
Fanyeni mambo chap chap muwahi kutafuta pesa.Bi Aksha tunaomba mwongozo bila shaka utakuwa kungwi kwenye hii sekta [emoji2960]
Umejuaje kama ana upungufu wa nguvu za kiume.Upungungufu wa nguvu za kiume...umekutoa povu...hahaha
haha
Hilo bao moja unachukua mda ganiSure, kufanya mapenzi sio kukomoana mtu anataka umpige bao tatu mpka uti wa mgongo unataka kuvunjika bhan
Mimi huwa sipendi kujichosha bao moja natulia..maandalizi ndo muhimu
20 mkuuHilo bao moja unachukua mda gani
huu mtego huumwamba vip umepelea?
Kwanini ujiteseFanya kazi acha uvivu