Sasa mbona hujataka tuone urembo wako LadyAJ? We unatuonyesha mbatata tu[emoji12] [emoji12]Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia
Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na mbigili tu wasalimieni wana Darisalama wala bata watoto watakoma kuzaliwa na mama mgumu wa shillingnikitoka hapa lazima Yule bwana anibebe kwa mbwembwe zote na mapenzi motoo Thanks Allah Tanga haijawahi kuniacha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] hakuna mwanamke hasa wa Daslam asiye mrembo sheikh wangu hahaha huyo jamaa mumuache tu jamani mie sina haraka naeSasa mbona hujataka tuone urembo wako LadyAJ? We unatuonyesha mbatata tu[emoji12] [emoji12]
Hakika jamaa akianza kula mzigo atakubeba hadi mikono iote vigimbi[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Huko napasikia tu nipo Kilindi Asili huku hebu nipe fulsa zilizopo huko next time nifikeNipo kata ya Pagwe kata ya lumotio nimefuata kitu kidogo,
Sio kweli, Dar kuna kila aina ya watu. LadyAJ kuna mashamba huko nije kulima?[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23] hakuna mwanamke hasa wa Daslam asiye mrembo sheikh wangu hahaha huyo jamaa mumuache tu jamani mie sina haraka nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi tu ni wewe na ela yako! Tena kama ungetaka mapema ningekupa lift tuje woteSio kweli, Dar kuna kila aina ya watu. LadyAJ kuna mashamba huko nije kulima?[emoji1] [emoji1]
Hahahaaa, umenikumbusha. Nikikushika bega utanimaind weye, tutapanga siku nyingine nije huko kilindi tulime[emoji12] [emoji12] [emoji125]Mengi tu ni wewe na ela yako! Tena kama ungetaka mapema ningekupa lift tuje wote
Utalima viazi,maharage,mahindi,alizet,mbaazi,mihogo yaani vyote vyakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha basi na wewe Husahau? Mimi naondoka Leo jioni ili niingie Dar usiku nilale na mwenzio teh teh teh!Hahahaaa, umenikumbusha. Nikikushika bega utanimaind weye, tutapanga siku nyingine nije huko kilindi tulime[emoji12] [emoji12] [emoji125]
Huko napasikia tu nipo Kilindi Asili huku hebu nipe fulsa zilizopo huko next time nifike
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo langu sisahau, tena sisahau hataaaa. Usimsumbue mwenzako, bado hajawa vizuri kutoa huduma.[emoji12]Hahaha acha basi na wewe Husahau? Mimi naondoka Leo jioni ili niingie Dar usiku nilale na mwenzio teh teh teh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaazi sisi hatujalima ila zipo,tumelima mahindi gunia 70 maharage 48 (njano goroli) Alizeti gunia 20 pamoja na viazi mpaka Jana hekari 2 tumepata gunia 16 Leo tupo tunamalizia hekari 2 zingine InshaAllah baadae nitasafiri kurudi nyumbaniLadyAJ kuna mahindi na mbaazi.
Hilo wala usitie hofu Mimi nimejituliza kimyaa! Ni yeye na mashaka yake tuTatizo langu sisahau, tena sisahau hataaaa. Usimsumbue mwenzako, bado hajawa vizuri kutoa huduma.[emoji12]
Mbaazi sisi hatujalima ila zipo,tumelima mahindi gunia 70 maharage 48 (njano goroli) Alizeti gunia 20 pamoja na viazi mpaka Jana hekari 2 tumepata gunia 16 Leo tupo tunamalizia hekari 2 zingine InshaAllah baadae nitasafiri kurudi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Next time naomba unipe lift niende na mimi kama Tour student, nitajifunza kituMengi tu ni wewe na ela yako! Tena kama ungetaka mapema ningekupa lift tuje wote
Utalima viazi,maharage,mahindi,alizet,mbaazi,mihogo yaani vyote vyakubali
Sent using Jamii Forums mobile app