Kwanini wewe hujiamini mpenzi? Jiamini kwa kila ufanyalo ndio msingi wa mafanikioHmm.. Unajiamini wewe
Mimi najiamini ila mwenzangu haniamini..Kwanini wewe hujiamini mpenzi? Jiamini kwa kila ufanyalo ndio msingi wa mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidisha upendo naamini ipo siku atakuaminiMimi najiamini ila mwenzangu haniamini..
Kilimo ndo kila kitu, kikikubali hutokaa uonee njaa kamweShukran mpenzi,watu wakituona tuna Drive vijigari wanadhani tumehongwa kumbe wenzao twakesha mashambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema umeukumbuka tu mhogo.
Viazi pekee Hekari 4 na mpaka sasa nimevuna 2 bado 2 kesho InshaAlaah Leo katika hekari hizo nimepata gunia 7 na 9 hivyo natarajia kuvuna kati ya gunia 7-8-9
Nashukuru sana. Na hongera kwa kujituma, hakika shemeji anajivunia.
Khaaa.. Hii kitu inawezekanaje dada.wengine waume zetu watupenda tukikaa ndani mana sisi ni mapambo...na kufanya kazi kwetu sisi ni haram....kazi zetu zaishia majumbani tu hadi raha...hata sokoni aenda bwana,akirudi mie ndo nichukue vitu nipike...mwaka wa 10 huu tunafunga...
Hongera ila akifa huyo jiandae kulia mpaka kujikojoleawengine waume zetu watupenda tukikaa ndani mana sisi ni mapambo...na kufanya kazi kwetu sisi ni haram....kazi zetu zaishia majumbani tu hadi raha...hata sokoni aenda bwana,akirudi mie ndo nichukue vitu nipike...mwaka wa 10 huu tunafunga...
wa kwako akifa hutolia? au humpendi?
Hongera sana mpambanajiViazi pekee Hekari 4 na mpaka sasa nimevuna 2 bado 2 kesho InshaAlaah Leo katika hekari hizo nimepata gunia 7 na 9 hivyo natarajia kuvuna kati ya gunia 7-8-9
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninampenda na kinachonifanya nimpende zaidi ananionyesha njia ya kupita hata pale asipokuwepo! Hataki tuje tudharirike hapo baadae kwa kushindwa kulipa school fees au kushindwa kupata chakula cha uhakika mezani,anataka kuona familia haikosi kitu hata asipokuwepo! Hataki kutuona Mimi na watoto tunamkufuru M/Mungu mara pale atapomtwaa mja wake. Bado nakupa pongezi kwa kuletewa ndani Hongerawa kwako akifa hutolia? au humpendi?
anha hubby wangu pia namshukuru hata asipokuepo ntaishi vizuri hadi ntakapoungana nae mbinguniNinampenda na kinachonifanya nimpende zaidi ananionyesha njia ya kupita hata pale asipokuwepo! Hataki tuje tudharirike hapo baadae,anataka kuona familia haikosi kitu hata asipokuwepo! Hataki kutuona tunamkufuru M/Mungu mara pale atapomtwaa mja wake. Bado nakupa pongezi kwa kuletewa ndani Hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu swali lilikuwa vinalimwa Kilindi maana mara nyingi vinaliwa sehemu yenye baridi
Kilindi ni miongoni mwa maeneo yenye baridi piaAsante mkuu swali lilikuwa vinalimwa Kilindi maana mara nyingi vinaliwa sehemu yenye baridi
Sent using Jamii Forums mobile app