K kazy Senior Member Joined Sep 13, 2012 Posts 126 Reaction score 50 Jan 15, 2013 #1 wana mmu leo naomba tuthibitishe kauli kwamba "mapenzi ni sawa sawa na siasa"
Berrita Member Joined Dec 20, 2012 Posts 71 Reaction score 28 Jan 15, 2013 #2 Kazy ww ndie umesema hayo. tuthibitishie. mm mgeni mtaa huu.
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,238 Reaction score 2,482 Jan 15, 2013 #3 somehow yanafanana mana kwenye mapenzi wa2 waongo sana kama kwenye siasa
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Jan 15, 2013 #4 mwana siiasa nakuwa na ahadi nyingi kabala hajashinda ila akishinda tu anasahau kula kitu the same applied to mapenzi akishapata anachotaka humuoni tena a.k.a caring zinapungua
mwana siiasa nakuwa na ahadi nyingi kabala hajashinda ila akishinda tu anasahau kula kitu the same applied to mapenzi akishapata anachotaka humuoni tena a.k.a caring zinapungua
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,846 Reaction score 172,470 Jan 15, 2013 #5 kazy said: wana mmu leo naomba tuthibitishe kauli kwamba "mapenzi ni sawa sawa na siasa" Click to expand... Sio tu siasa, ila ni siasa za Tized!!!!!!!
kazy said: wana mmu leo naomba tuthibitishe kauli kwamba "mapenzi ni sawa sawa na siasa" Click to expand... Sio tu siasa, ila ni siasa za Tized!!!!!!!