Mapenzi Pesa

Ubuntu trusty tahr

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
326
Reaction score
228
Habarin wakuu polen kwa shughuli za ujenzi wa taifa kila jua linapozama na kuchomoza....Huu ni mtazamo wangu juu ya swala zima la mapenzi Huwa naamini kuwa Mapenzi ni pesa nimekutana na watu wengi sana waliowahi kuyumba na kuvunjika kwa mahusiano yao sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na pesa hivyo basi nawasihi vijana wanaoamini kuwa mapenzi sio pesa waache haraka iwezekanavyo kwani mapenzi bila pesa ni mateso na taabu..

Ukiwa na pesa kwenye mapenzi utaenjoy sana

Ukiwa na pesa utaweza kummiliki mwanamke yeyote umtakaye na kwa wakati wowote

Ukiwa na pesa hata stress utakuwa nazo kwa kiwango kidogo sana

Ufundi na ujuzi kitandani hauna mvuto kama huna pesa

Vijana na wazee wenzangu Tuongeze juhudi kutafuta pesa kwani pesa hufanya jambo lolote kwa wakati wowote Yaani PESA HAIJAWAHI KUSHINDWA .
 
Napinga hoja yako. Mapenz si pesa sababu..
Unapokuwa na pesa ukidhani utafanikiwa kwenye mahusiano basi unajidanganya.

Viumbe vya kike havitabiriki. Akiwa kwako sababu ya pesa bado atachepuka na mtu ambaye ni sharo tu wa town hana lolote.

Kwenye mapenz maintain uwezo wa kuhudumia. Ila angalia nini kimeshikilia mapenzi yenu.. ni pesa? Ni mapenz halisi? Au mtoto?
Kama ni pesa , ujue unadanganywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…