Mapenzi pesa au ufundi?

Zama yalikuwa mapenzi ya kweli siku hizi bila pesa japo nusu yaah mahitaji ya mwanamke imekula kwako tusianze kujipa matumaini ya bandia hapa na kufumbia macho mambo yanayotokea kila kukicha namna mapenzi yalivyosambaratishwa na fedhwa .
 
Mmmmmmmhhhhh me nadhani ni both ov them..! Unaweza ukawa na dough na bado ukatendwa tuu na unaweza ukawa mzuri in bedrock but ukasalitiwa vilevile..! Cha muhimu upate mpenzi anayejielewa tuu
 
Atakuwa anamchepuko unaompa pesa believe me

Ah wapi, kutokumpa pesa kwangu hakumaanishi sina. ila yeye mwenyewe huwa hana mazoea ya kutaka pesa kwangu kwani hana tamaa ndogondogo alafu istoshe mtoto anajiweza na anajielewa sio kama wewe miss wa kinyaru
 
Last edited by a moderator:
vikienda sambamba vinanogaga!! Preta
eti jamaa fundi halafuvanipeleke kayumba gest hauz. akwendreee

Umeona eehhhe........wee unajua......hao wanaosema pesa.......wanaenda kununua shughuli.......na hao wanaosema shughuli.........wanaenda kununuliwa.......bora kubalance...
 
Last edited by a moderator:
Umeona eehhhe........wee unajua......hao wanaosema pesa.......wanaenda kununua shughuli.......na hao wanaosema shughuli.........wanaenda kununuliwa.......bora kubalance...

mtaka yote kwa pupa hukosa yote.....
chagua moja....
 

Mapenzi pesa ww ufundi peleka veta!!
 
Kwa namna nilivyozisoma komenti nyingi humu, NI WAZI SIKU HIZI HAKUNA MAPENZI.

Zaidi tunafuata ama pesa au ufundi.

Kilichopo siku hizi ni TAMAA tu.
 
Dah!Comment Zenu Zimenichanganya Kabisa,,ewe Mola Wangu Nakuomba Unipe Mke Mchamungu!
 
Kwani Mungu alisema iwe hivyo jamani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…