Mapenzi pesa au ufundi?

Vipi jamaa akiwa na pesa halafu doroooo.

Ngoja nkuambie kitu unapompenda mtu kwa ajili ya kitu fulani alichonacho hayo s mapenzi maana kwamba leo anacho utampenda kesho hana lazima utfte alienacho ukidhi haja zako
 
Sio pesa,wala ufundi.

Mapenzi ni hisia zisizozingatia vigezo vyovyote.
 
1. Una pesa na una demu mkali, mwenye ufundi atamwiba demu wako na watakuwa wanatumia pesa zako kujivinjari wao wenyewe!

2. Una ufundi unampa mambo kweli demu wako, lakini anakosa hela za saloon. Akimpata mwenye pesa ambaye wakiingia kitandani bao moja tu wanaondoka tena la dakika 2, demu wako atakuwa anachukuliwa tena kwa kisingizio kuwa: afadhali niwe na huyu, hanichoshi lakini ananipa hela za kutosha, ananiweka mjini. Wewe na ufundi wako utabaki huko umetumbua vimacho!

Hapo nini bora kwako??? Tafakari, chukua hatua!
 

Kama pesa inapunguza kucheat ...ule uzi wa Franko yule mwanamke y achepuke?
 
kama mapenzi ufundi bas aende VETA

mapenz pesa bhana

kama mapenzi ni pesa oa au olewa na B.O.T.

Kimsingi kila binadamu alivyoumbwa ndani yake kuna chembechembe za kimapenzi na mtu wa jinsia tofauti na yeye. Haijalishi pesa au ufundi kupenda kupo tu. Hata kabla ya kuundwa pesa, mapenzi yalikuwepo. Hata bila ya ufundi mapenzi yapo tu.

Ni kweli Mwanaume akiwa na pesa atawapata wanawake wengi lakini sio wote. Hapo ndipo utajua kuwa pesa sio kila kitu. Lakini pia hata hao wanawake atakaowapata hakutakuwa na mapenzi bali ni kumchuna huku wakimpa ngono na sio mapenzi.

Ukweli ni kwamba kupata ngono ni pesa yako na ufundi wako. Ila mapenzi ni zaidi za pesa na ufundi wa kitandani
 
Pesa inanafasi yake pia kwenye mapenzi, tena nafasi kubwa sana tu. Ufundi pia ni sawa, lakini ukiwa navyo vyote ni bora zaidi.
 
Mi hata sijui.........coz napenda vyote..........
 
Mi hata sijui.........coz napenda vyote..........

vikienda sambamba vinanogaga!! Preta
eti jamaa fundi halafuvanipeleke kayumba gest hauz. akwendreee
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi pesa bwana huo ufundi nitakufundisha tu labda uwe mkaidi....et mapenzi ufundi unalipa bili huo ufundi????

Hahaaa kazi mnayo kwa hiyo pesa ndio kila ki2 ufundi tupeleke veta
 
mapenzi hela.. ufundi peleka VETA....... ila ukweli mapenzi bila pesa ni uongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…