Mad Scientist
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 215
- 77
Vyote, ila baby wangu hapendi pesa.yeye maufundi tyuu!!
Vyote, ila baby wangu hapendi pesa.yeye maufundi tyuu!!
Sijakuelewa bado unazungumzia nani? anayechepuka. mke? mchumba? grfrnd? au nani?
Pardon.....!!
Kwanza nikusahihishe, Kuchepuka hakuko subject na chochote kati ya ulivyovileta. Pili, ufundi ukiwa na pesa ni added advantage, ufundi bila pesa umeuawa ndugu. Pesa ni changamoto kwa dada zetu, hata uwe fundi vipi pesa zinaleta ufundi zaidi. Pesa inapunguza ku cheat kwa akina dada, kwa kuogopa challenge za maisha. Tafuta pesa acha ubishi ili kama interest yako kina dada u uwapate.
Nimetoa neno kuchepuka, nimeweka kucheat labda linaweza likaleta maana inayoeleweka kidogo kulingana na utata uliopo
Habari mwana forum mwenzangu wa MMU. Jana nimetumiwa wimbo wa diamond na Ney wa mitego wakibishana kuwa mapenzi ni ufundi na mwingine anasema pesa. Nikaamua kumtafuta swahiba wangu kumuuliza na kilichotokea ni kuwa na sisi tukawa tumepishana mtazamo. Sasa nalileta kwenu tulizungumze.
Kwa upande wangu naona mapenzi ni ufundi. Kuna huu msemo "Ukiona dada kaolewa, jua dada kanogewa". Na mwanamke akifuata pesa katika mahusiano ni rahisi sana kucheat kuliko aliyekubali kuwa na maskini lakini ni fundi katika ulingo. Vipi wewe?
Mapenzi kupendana pesa ufundi vyote mbwembwe tukama unampenda na hajui kujituma kwa kitanda utamuacha nina hakika wewe kama utakua mstar wa mbele kumwelekeza ikiwa tu unampenda kwa dhat ya moyo wako ila nenda unakoenda mapenz hayana mwenyewe naweza kua fundi still nisikupende vilevile