Mambo zenu wadau
Ugumu unakuja pale unapokuwa na mwanamke ambaye ni #fundi_kwa_bed
Lakini ndugu zako wanamkataa wanakwambia huyo mwanamke hakufai
1. Ana dharau
2. Hajui kupika
3. Hana adabu mpaka kwa sis ndugu zako
4. Mkorofi
5. Anavaa vibaya
Hapo jibu huwa ni moja tu "NYIE HAMJUI TU"
ingekuwa wewe ungefanya Nini, na Kama ungekuwa wewe ni mwanamke unasemwa hivi ungechukua hatua gani?
Tafakari..
Sent using
Jamii Forums mobile app