Naombeni tusaidiane kutafsiri nini maana ya mapenzi,maana kwa upande wangu naona ni ujinga tu yanaishia kuniumiza hakuna unafuu wowote ule zaidi ni kuishia kugombana kufikiriana vibaya kupeana presha zisizokuwa na lazima heri kukaa peke yangu.
Usijiue tu maana nyi ewaheheNaombeni tusaidiane kutafsiri nini maana ya mapenzi,maana kwa upande wangu naona ni ujinga tu yanaishia kuniumiza hakuna unafuu wowote ule zaidi ni kuishia kugombana kufikiriana vibaya kupeana presha zisizokuwa na lazima heri kukaa peke yangu.
Sanaa ya ujinga, mshindi ni mjinga zaidi akiweza kumrubuni mjinga kwamba yeye si mjinga. Ni ngoma ya majuha. Ngono kwa ajili ya kuendeleza kizazi cha binadamu, mengine mistari ya pambizo kwenye kurasa nyingi za insha ya ujinga.
Naombeni tusaidiane kutafsiri nini maana ya mapenzi,maana kwa upande wangu naona ni ujinga tu yanaishia kuniumiza hakuna unafuu wowote ule zaidi ni kuishia kugombana kufikiriana vibaya kupeana presha zisizokuwa na lazima heri kukaa peke yangu.
Naombeni tusaidiane kutafsiri nini maana ya mapenzi,maana kwa upande wangu naona ni ujinga tu yanaishia kuniumiza hakuna unafuu wowote ule zaidi ni kuishia kugombana kufikiriana vibaya kupeana presha zisizokuwa na lazima heri kukaa peke yangu.
ni ujinga kwa waliyoyashindwa (kama wewe)...ni akili kwa wanaotumia akili kwenye kuyafanikisha...na ni sanaa kwa wanaoyachezea
"Ndege wa angani huimba vizuri sana, lakini ni hatari sana kufanya urafiki nao, maana wakishtuliwa kidogo tu na kitu huruka na kukuacha mpweke...kuna watu wako kama ndege kitabia!! uwe mwangalifu wanapokufurahisha kwa porojo zao mshtuko ukitokea watakimbia na kukuacha mwenyewe.Ukimpata mtu sahihi,hasiyeruka kama ndege akishituliwa,Mapenzi ni matamu muno hasikwambie mtu,ni akili kwa sababu inahitaji kutambua mwenzio anahitaji nini na kwa wakati gani wakati mwingine kiasi gani pia!Ni sanaa kwa sababu inahitaji kutambua umshike wapi mwenzio kila siku na kwa staili tofauti tofauti atekenyeke!