Mapenzi ni ugonjwa gani?

Mapenzi ni ugonjwa gani?

Joined
Mar 21, 2015
Posts
17
Reaction score
3
Hivi kweli mapenzi ni ugonjwa kama ni ugonjwa kwanini watafiti wasitafutie dawa? Kila sehemu siku hizi ukimkuta msichana ama mvulana akizungumzia mapenzi basi lazima yawe mapenzi yenye maumivu.

Je haya mapenzi nini hasa
? Karibuni tujadiliane
 
ngoja waje wakitoka church maana hata mimi sielewi kitu
 
Back
Top Bottom