Yaani maamuzi ya kupiga chini ndiyo sahihi kabisa nami naafiki maana sidhani kama usumbufu huuu utakwisha , amenifanya mpaka hamu ya sex ikate kabisa maana nawaaza sana bi dada ana maanisha nini kwa matendo haya !!nilitegemea kuona mchango unaosema huyo hana mapenzi namii na hakika ndicho kitu kilichopo !!!!!!! nasubiri michango yenu zaidi, ingawa ana sms sana na cm kwa wingi sasa nipo njia panda kwa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!