wengi wamekuwa wanashindwa kujuwaMapenzi nini nakuzani Mapenzi ni ya mke tu lah hasha waweza ita mama yako Mama Mpenzi Mapenzi ni hisia lakini tukumbuke Mungu ndio mwanzilishi wa Upendo na twatakiwa kuomba Mapenzi yake yatimie kwetu Hisia ndizo husababisha nakukolea mpaka kuitwa Mapenzi. Mapenzi Mapenzi Mapenzi Tupendane