Kwa nini watu wanawehuka na penzi mtu anakuwa mnyama akiambiwa amemegewa?
Na wanawake wanaenda hadi kutafuta ndumba au anafanya hila amcross rafiki yake kwa mpenziwake ili awe naye!??
Ila mwisho wa siku mapenzi yakiisha mnaonana maadui why??na nguvu yote uliyoitumia unasahahu hata kama ni pesa.