Mapenzi ni nini jamani?

Mapenz ni ujinga unaondekezwa na Mtu mwenywe. Ukiwa na akili timamu huwez kukaa ukamuwaza mtu
 
Mapenzi ni kama kasehemu fulani hivi cha software ambacho kamekuwa installed na God kwa msaada wa ubongo (hisia) ikiwa inafuata instruction maalumu, yaani ukitibua hii system kwa kutembea na mademu kama 10 hivi basi wewe utakuwa huna hisia ya kimapenzi na utakuwa kama system overrun. Dah ila mapenzi yaacheni jamani yawe kama yalivyo,kuna jamaa yangu nilimkuta akilia akanidangaya kuwa anaumwa na kichwa, hahahha! kumbe jamaa alishakula za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…