Mapenzi ni matamu sana...

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Hasa ukimpata mwanamke anayejua nini maana ya kuwa msafi na kumuheshimu mwanaume. Ukimpata mwanamke ambaye ni mshamba hajui kucheza mechi (kacheza mechi chache sana) inanoga sana, maana kila mkiingia naye dimbani ni kumpiga magoli tuu, kila mechi unaondoka na ushindi mujarabu.

Ukipata mwenye wivu kupindukia ndio inakua bomba zaidi. Yaani ni mwendo wa kuenjoy tuu. Mwanamke ambae akikupigia simu mara mbili hujapokea "2 missed calls" ananuna week nzima, huyo ndio anafanya mapenzi yanakua matamu sana.
 
Tuko pamoja mkuu, hakuna kitu kizuri kamaa kumbembeleza akinuna .

《Caprichar o teu sorriso》
 
Na ikiisha corona ulete mrejesho wa unayoyasema hapa
 
Na hasa umpate mwanamke anaeuza chupi za kike na kumtania kuwa ajaribishe kuvaa moja mbele yako!
 
Ukiwa na pesa ndio yananoga zaidi.

Utafurahia vipi mapenzi wakati una njaa, unadaiwa kodi, una matatizo chungu nzima.
 
Too bad umechukulia kwamba sex Ni directly proportional to love.

Love is not sex.
 
Utamu wa mapenzi upo sehemu mbili
1.mwanamke apate spana haswaa
2.mwanaume apate mahaba
Ila katika hali zote pesa iwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…