Monda kubwa
Senior Member
- Jun 20, 2019
- 121
- 158
Ndio dawa yake hiyo mkuu...
Lakini inauma sana kupotezewa na mwanamke kama hujawahi kupewa mambo hata siku moja
Unajilaumu yani
Dah, inauma maana niligaramia mno. Ila yote sawa tu. YatapitaWe ushaachika kubali yaishe
Kalewa pendo mkuu punguza doz
Upo Sawa mkuu
Ndiyo nawe punguza ilo liupendo mkuu
Usiwaze kujitahidi, ukiwaza kujitahidi ujue ndio dalili zakushindwa hizoNajitahid, kwan nitakufa bro?
Usiwaze kujitahidi, ukiwaza kujitahidi ujue ndio dalili zakushindwa hizo
Duh, hiii kuroga inafanyaga kazi kweli?Ndio ndio mkuu uko vizuri ikiwezekana nenda Kwa mganga kamroge
Hapa sijakuelewa mkuu
Kalewa na wingi wa pendo unalompa punguza unayomfanyia
Atakukumbuka mpotezee smartphone imemzingua anakutana mambo mapya kwake mitandaoni mpaka aje kuyaelewa vizuri atakuwa used.Hapana, kanipa Mara 100 ila aliniigizia nikafall in love sasa kumbe alikuwa muigizaji tu. Yan mpaka nilimnunulia smartphone alikuwa hana hata simu
Atakukumbuka mpotezee smartphone imemzingua anakutana mambo mapya kwake mitandaoni mpaka aje kuyaelewa vizuri atakuwa used.