inategema unamwaga kwa mwanamke wa aina gani!WEWEEEEE!!!HISIA NA KUMWAGA KIPI NI UTAMU WA MAPENZI?
View attachment 2970448
ata hitaji/tamani kuendelea kuwa na ww ata baada ya matamanio yake ya kingono juu yako kumuishaTutajuaje sasa Kama mwanaume ana hisia na Mimi
Nyinginee nyege tu
ata hitaji/tamani kuendelea kuwa na ww ata baada ya matamanio yake ya kingono juu yako kumuisha
OkayHisia ndio injini ya mapenzi matamu
Narudia mapenzi ni hisia, hisia zikiwa kwa mtu fulani hata moyo, nafsi na akili yako yote itakuwa pale
Sauti yake pekee inaweza kukuvurunga kabisa yaani ukahisi kuchanganyikiwa, ukimgusa ndio balaa. Ukiwa naye ndio unakuwa chizi kabisa na akiku...unafika.
Mwanaume omba sana mwanawake utakayempenda akuelewe kuna maisha fulani utayaishi ambayo wakati mwingine huwa unayaona kwenye tv na masimulizi. Yeye atakufanyia ilivyo
MWANAMKE akiwa na hisia na ww ataishi maisha ya aina yako, kipato chako, atakushauri vyema na huwa msikivu na mtiifu mno. Huwa mzuri kuanzia kitandani, jikoni, kichwani na kila leo hutamani kuwa mpya kwako ili penzi lake lisife akapoteza thamani yake kwako.
MWANAUME akiwa na hisia na wewe hata kama alikuwa na amejiengesha mahala hupiga chini haraka sana ili kulinda mahusiano na mtu aliyemtafuta/aliyemhitaji siku nyingi wa matamanio yake.
hamna mda maalumu bali ni mhusika mwenyewe ndio inatakia ajitathimin ayo mahusiano aliyopo akiondoa sex na material things kuna kitu kingne kinachowafanya waitajiane(kuwaonganisha)Yaani hapo ni Kama miezi mingapi tusemeโฆ maana kuna watu wanatumika hata mwaka mzima then wanaachwa
hamna mda maalumu bali ni mhusika mwenyewe ndio inatakia ajitathimin ayo mahusiano aliyopo akiondoa sex na material things kuna kitu kingne kinachowafanya waitajiane(kuwaonganisha)
ndio jifunze kuishi bila uwepo wake, ni bora kuwa single kuliko kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahhMmh pagumu hapo ila inauma sana umpende mtu kumbe hana mpango na wewe
Noma sana, Wanapagawa na ID za watu ambao profile pic sio zao[emoji16]Naamini hakuna HISIA ambazo zipo fixed kwa mtu mmoja.. ndio maana watu wanachana na kupata mtu mwingine na wakaw na hisia zile zile au zaidi.. yaan wakafurahia Maisha zaidi.
Hisia hasa kwa Mwanamke huwa inachukua muda ku-connect vzr hasa ikiwa hana hisia na Mwanaume hapo Mwanzo. Sisi Wanaume tuna hisia muda wote kwa yeyote ndio maana kuna MAFALA humu JF yanaandika nyuzi mbalimbali kuomba Mapenzi kwa watu hata hawajui yaani ID tu ya JF tyr mtu kashapagawa.
HISIA ni kitu COMPLEX sana.