hakika hata mimi nimeona ameenda speed sana. Hawa vijana wa siku hizi sio wa kisport sport kabisa.Yaani ulianza kuchakarika 2015 leo 2017 haijaisha lakini ulishapata demu, umeoa, hadi talaka ushatoa?
Inabidi umshukuru huyo mwanamke kwa kukufunza adabu.
kampany kivipi? jieleze vzr nieleweNilifikiri utakua company
Yani niliamua kumuoa yule bint kutokana na utendaji wake wa kazi,kampany kivipi? jieleze vzr nielewe
unataka wa kupoza kwa kipindi hiki cha majonzi au unataka niunge mkono upande wa mkeo
teh teh
wewe ni mjinga ujueYani niliamua kumuoa yule bint kutokana na utendaji wake wa kazi,
Nikajua akiwa mke itakua Mara 2 take
Kwasasa nipo kwenye kampeni kabambe ya kuwacharaza mashogazake wote ili hasira ipungue tena baadhi yap tayari, tena wakiwa geto wanamponda mwenzao ikiwa walishiriki kumdanganya
Hasira za kunilostisha lazma niwacharaze shoga zake ili wakiwasiliana wapeane udaku vizuri.wewe ni mjinga ujue
sorry ila nimecheka sana walah
hebu ukumbuke kuwa kuna magonjwa maana kufa mapema sio kabisa bado tunakuhitaji
BTW ndoa hazijengwi namna hiyo, too much expectation ndizo zilikuletea balaa lote
teh teh mbavu zangu mie
Hasira za kunilostisha lazma niwacharaze shoga zake ili wakiwasiliana wapeane udaku vizuri.wewe ni mjinga ujue
sorry ila nimecheka sana walah
hebu ukumbuke kuwa kuna magonjwa maana kufa mapema sio kabisa bado tunakuhitaji
BTW ndoa hazijengwi namna hiyo, too much expectation ndizo zilikuletea balaa lote
teh teh mbavu zangu mie
hahahahahah angalia magonjwa mkuu na nguvu zako unazopotezaHasira za kunilostisha lazma niwacharaze shoga zake ili wakiwasiliana wapeane udaku vizuri.
Kwasasa maisha magumu ukifilisika lazima usugue benchi kwanza
asante kwa kukua mkuuNa sitokurupuka kuoa
Kiukwel kabla ya ndoa sote tulikua watu wa ibada kiasi kwamba hata kuonja tunda haikuwezekanaPole sana Mpambanaji...!
Yote hayo pengine ni majaribu tu ya Mungu...
Hukugusia ushirika wako/wenu na Mungu..!
Vipi ulikuwa ni mtu unaekumbuka kutoa/kurudisha shukurani kwa Mungu...!?
Kitathimini ni wapi ulitereza, ili ikitokea nafasi nyingine uepuke anguko...