Mapenzi ndio raha ya dunia

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Hebu chukua nafasi kidogo jiulize haya mapenzi wadau mbalimbali wanayochangia humu katika JF ingekua ni chuki ingekuaje?

Hebu kila mmoja arushe neno moja moja nini ingekua hatima yake.
 
Mapenzi ni jinsi anavyo ya chukulia mtu binafsi, wengine huwaumiza baadhi hatuumizwi. so chukua hatua katika kuya tawalaa.
 
Ki ukweli ukuna utamu kama mapenzi na ndio kesi nying zinasababishwa ikiwepo kifo,utapeli,usaliti na mengi kadha wa kadhaa
 
Umpate mnaependana na mwenye kipaji cha penzi la kweli... hapo utafaidi mapenzi
 
hivi swali la uzi ni lipi kweli...nimepoteza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…