davibby
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 318
- 249
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwann wanawake weng wanaotafuta wanaume wakuwaoa unakuta wanataka mwanaume aliyemzid umri miaka kuanzia 3 nakuendelea? Umri unanini kwenye mapenz na mahusiano kwa ujumla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app