Mapenzi na uganga..

utu wangu

Member
Joined
May 10, 2008
Posts
52
Reaction score
3
Ni nini kinachomfanya baba mtu mzima na familia nyumbani kutelekeza familia na kutumikia nyumba ndogo??? baba anadhubutu kuwalaza watoto njaa, huku akimjengea nyumba kicheche..

ni mapenzi au limbwata?kuna evidence mabinti wadogo wana majumba ya kifahari na mali kuliko hata wazazi waliowazaa.........
hii ni fashion au m'momonyoko wa maadili...

wakuu,your opinions matter
 
mkuu upo wapi siku hizi....tumeyamiss haya mambo
 
Mmh ...sidhan kama ni uganga. Hulka tu ya mtu,ndo hapo akifulia kicheche nacho kinaota mbawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…