Mapenzi na ndoa

PEASANT BOY

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
53
Reaction score
0
Ni kweli kwamba wataalam wamefanya tafiti na kubaini kwamba wanaume wakiwa manene na kitambi uwezo wa kimapenzi hushuka sana?
 
Ahahahahahah! !!!!!!!!!!!! sina uhakika saaana
 
Aise si mchezo. JF bana.
 
Unamfahamu vipi huyo dada? Labda unipe jina lake na jinsi unavyomfahamu Mkuu.
 
Mkuu unamfahamu vipi huyo dada? Nipe jina lake na jinsi unavyomfahamu Mkuu.
 
Wazazi hebu jitahidini kuficha simu zenu jamani!! Ona watoto wanachokifanya sasa!!! Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…