Mwambie asimpe na amshitaki kwa maza hausi amkomeshe huyo mdingi tabia gani hiyo yaani mkewe hamridhishi au?
dada dena hata akisema lzm afukunzwe kwani maza anajua iko siku atazidiwa mbinu na kumpa
Sasa we wataka housegirl akapate wapi msaada,?Eeeh Mola wasaidie hawa wadada maana nao ni binadamu kama wengine, Na nyie wakaka mkome hii tabia kama wake zenu hawawaridhishi muwaambie wajirekebishe!!!