Kwann usimuulize? Kama ulikuwa unafurahi kuiona mweleze
sijawah nilikuwa tu naenjoy ikiwepo%
Bora ujishangae mwenyewe. Subiria next ataanza kuandika p akimaanisha poa. Baada ya hapo sahau!
Hahahahaaa. Alikuwa hajui kutumia simu. Badala ya nukta anabofya %
Hahahahaaa. Alikuwa hajui kutumia simu. Badala ya nukta anabofya %