Leo vipi ndugu , mbona unalalamika sana, kulikoni?
sikukuu hii mkuu....
Ukitaka kujua mko wangapi subiria sikukuu ndo utajua
atakuwa kaachwa home, wenzie wako Dar Live.
sikukuu hii mkuu....
Ukitaka kujua mko wangapi subiria sikukuu ndo utajua
Karibu to the JF family.Lipi bora kuwa na mpenzi halafu hauna furaha au bora kuwa single na furaha
Bora kuwa na MPENZI KIVULI ili ukitemwa huku yule kivuli anakaimu nafasi. Kuwa single si mchezoooo! Unaonekana UMEDOOOODA!!!!!!!!!!
Lipi bora kuwa na mpenzi halafu hauna furaha au bora kuwa single na furaha