Mapenzi kweli noma

Amekufa?Kama hajafa mwambie aje nimuoneshe sumu inayoua kwa sekunde moja tu!
 
Dah! ndiyo maisha, ila akunyimae mbaazi ................, angefait tu kivyake maisha yangekaa tu
 
chizi huyo....sii angemkamatia mke na kuumnyonga yeye
 
Digital hii mtu mwenye meno 32 uliyekutana naye ukubwan unajikatisha uhai kisa yy? mm mbado!!
 
sasa kunywa sumu ndio suluhisho?Ni ukosefu wa busara tu kwani yeye alikuwa nae tokea utotoni au walikutana ukubwani na saa jabu utakuta walikutana bilcanas au bar.Akifa sasa yule si atamuacha nyuma na baada ya miezi miwili tu si atamsahau?
Afterall ajue mke wako si ndugu yako na ukifa anaweza anzisha mji mwingine kama ilivyo kwetu pia wanaume.
 
Kukumbatiana tu, labda class mate wake jamani!
Huyu mkaka alikuwa na matatizo . bora tu ametangulia angeweza kuua familia nzima.
 
Kukumbatiana tu, labda class mate wake jamani!
Huyu mkaka alikuwa na matatizo . bora tu ametangulia angeweza kuua familia nzima.

inawezekana ni mambo ya mda mrefu na washagombana au kuhisiana maana mleta mada ameleta kwa ufupi tu, ingawa bado maamuzi aliyotumia ni makubwa lkn amefanya uamuzi mzuri kuliko angewazuru hao wengine, Pia hili ni somo kwa huyo mwanamke na JF's kuwa hata atakapoanza maisha yake kuwa ukiamua kuolewa au kuoa basi tulia na wako na kama umeona mda wa starehe bado unauhitaji ni vizuri kusubiri kwanza.
 

Usikute pia huyo baba alianza na huyu mama alikuwa namalizia. Maana kunawanaume wengine wakishaoa wanaota mbawa. Sasa wakirudishiwa wanruka kama swala!
 
::
Mapenzi !!! Watoto wa kifo wamefika second semester ya Kuchanganya akili zetu.
=
 
Nimesikia wakisema demu wako wa sasa ni x wa jamaa mwingine!

Sasa kwa nini ajiue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…