Mapenzi kwangu mzigo,,,

JAMEN yeye mwenyewe amechek udhaifu wake kwanza, Maana kule kwe2 kuna ndege 1 kla shimo analopanga kuish analcfu kunuka lakn ukwel n kuwa yeye ndege mwenyewe ananuka kwa hiyo ile arf kweny shimo aisambai ndipo yeye anaic kuna harf nzito ndan ya shimo.
 

Sio hvyo mkuu, n wao 2 coz nawafanyia kias kwamba wanardhka ila cjui n kwann. Na baadh yao wananambia wanajuta kuachana na mie
 
pole bradha, lakini nadhani ni majaribu tu,we omba sana mungu ipo siku utampata wa maisha
 
pole xana brada, lkn we ni mwanaume na umepewa mamulaka makubwa hapa dunian na pia kwa kupendelewa zaidi mungu alikuumba kwa mfano wake, xo kwann upewe stress na kiumbe ulichopewa ukitawale, be a man bhaana......... wanawake hamna kitu. xoma bible vzuri then utajua hw women is nothing for Gent's.
 
Yeshakua hayo tena?acha kuleta mfumo dume humu ndani.Kwahiyo kama woman is nothing ye itamsaidia nini katika kumpata mwenza anayemtaka?watu mnajidai mwaifahamu vizuri bible wakati hamuyaishi yaloagizwa katika hiyo bible.
 
Mh!nahitaji kamusi for sure!
 
. Pole Sana! Kama unajihisi umechoka kupenda - TAKE A BREAK. Kamwe huwezi kujilazimisha kupenda. Moyo utakapokuwa tayari utapenda tu, ila maombi yatahusika sana ili nawe umpate anayekupenda maana it looks like unapenda usipopendwa.
 

hiyo bible ulikosoma "Wanawake hawana kitu" umeitunga wewe, hakuna maandiko ya hivyo ktk bible. Hili ndo tatizo la wanaume msiojiamini, mnapenda kumkandamiza mwanamke kama njia ya kuwafany mjihisi mna nguvu mkishaumizwa au mkishindwa kumpata.
 
. Pole Sana! Kama unajihisi umechoka kupenda - TAKE A BREAK. Kamwe huwezi kujilazimisha kupenda. Moyo utakapokuwa tayari utapenda tu, ila maombi yatahusika sana ili nawe umpate anayekupenda maana it looks like unapenda usipopendwa.

Sure,,,
 
Kama vp kaushatu we piga vyombo njee ukirudi ndani ubatuliatu ila kama unahamuyakuitwa bba tafuta ucchoke broo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…