mapenzi kwa njia ya simu na skype

Hayo mambo hayapo bana...kitu live bana...Skype sijui simu ni theory zaidi....tuache hayo mambo ya kufikirika...
 
Sakapal pls ntakupm unifundishe.. Hahaaaaaaa.. Ila jamani naeacfu wanaume wanaofanya na wake zao.. Wengi wanafanya na vimada au hata wacowafahamu..
 
Ila jamani Kuna mijanaume inashinda yakichart na kusex on line halafu mnapoingia bed utackia mpz blablablaaaa kumbe amechanganywa na m2 Ktk cm.. Yani Mungu awalaani..
 
Sakapal pls ntakupm unifundishe.. Hahaaaaaaa.. Ila jamani naeacfu wanaume wanaofanya na wake zao.. Wengi wanafanya na vimada au hata wacowafahamu..

ntakuwa naingilia kazi za makungwi wako watu na profesheni zao za kufundisha mambo hayo mie utanionea.
 
hii ni kitu nzuri bana it helps to those with long distance r/shp
 
ntakuwa naingilia kazi za makungwi wako watu na profesheni zao za kufundisha mambo hayo mie utanionea.

Hahahaaaaaaaaaa napenda kufurahi... I was only kidding ndg.. Pole labda nilikushtua moyo....
 
mmh...huku kuitwa ni kwa wema kweli?

kwa wema kabisa mkuu....si umeona kule kwenye sredi nyingine....? hebu do ze nidiful...ukishindwa masuper sub tupo
 
Nishapita huko mpwa yule ni ndugu tangu wa hapa JF...

kwa wema kabisa mkuu....si umeona kule kwenye sredi nyingine....? hebu do ze nidiful...ukishindwa masuper sub tupo
 
inakuwa poa kabisa tena salama maana hupati mimba wala virusi. lol
 
inakuwa poa kabisa tena salama maana hupati mimba wala virusi. lol

utaepuka hayo...lakini kama ni mwanaume ujue unajitafutia uhanithi...baada ya muda kifanyio chawa mdebwedo kama chuzi la mlenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…