Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Noel 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
718
Reaction score
292
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.

Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.
 
miaka minne yote unashangaa tu!?
 
He he he, kufanya zombie, yupo anayekamua. Hujaamua kusoma wala kutizama picha, shauri yako italegea kama uzi uanze kusaka supu ya hydra.
 
Labda We zombie..miaka m4!!! Chake cha dhahabu ama vipii??
 
kweli bana amekufanya zombi na wewe umekuwa zombie, chepuka bana huoni njia kuu kuna ajali.
 
Hahaaa yaani uume ukiona mkono wa kulia unasimama? Duuu mdau umeuaa

Kama vip mkatie mawasiliano tu!
 
Ndugu yangu kwa ushauri mdogo tu kuwa nae kwa miaka mingi haimanishi mna mapenzi ya dhati au ndio utamwoa koz kuna msemo ; Not every relationship end up into marriage nyingine ni ili ujifunze mambo fulani. So take care ukiendelea na hayo mawazo ya kutumia nguvu nyingi na akili kumwaza yeye na papuchii yake unaweza kuja jutia mbaya pale utakapo kuta wewe ulikuwa spare tire, siku hzi michepuko ni nje nje cha msingi ni kuwa makini usije endekeza muda mwingi kwenye hiyo kitu utaja umia badae upate ugongwa wa moyo bure hawa watu ni kma kinyonga
 
Hahaaa yaani uume ukiona mkono wa kuume unasimama? Duuu mdau umeuaa

Kama vip mkatie mawasiliano tu!
Nimecheka sana. Nilikuwa sijamwelewa. Kwa hiyo dushelele yake ina macho,halafu mkono wa kuume umekuwa papuchi yake. Hii kali.
 
Duh kuna wanaume wa ajabu kweli..ukiona hupewi mzigo..hakuna upendo hapo mtu anakuchora tu stika..acha ujinga wewe..
 
tafuta ustaarabu mwngne,alaf ukiona mdada anakunymA papucH kwA wakat wote huo hujuI anakuepushA na ninI
kama viP xepA,na hakO kamchezo Cha punyeto cyO kzurI.
 
Mweleze ukweli unapiga puchu kwa miaka minne kwa ajili yake... Anaweza kukuonea huruma akakupa....
 
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.

Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.
Siku ukigundua kuna mngese anapelekewa papuchi geto bila hata kuomba lazima ujiue!
On your feet solder....?Find substitutes!
 
You r not serious, yaani niendelee kupukuchua maindi getto everyday?
 
oa bhana, si ana maisha yake na yeye, sasa unaogopa nini maisha ya ndoa hayana jipya, akili zitapanuka, as long as she is ready, muoe, hayo yote utasolve
 
Mpaka kufikia hatua nimeanika la moyoni jamvini ujue yamefika shingoni, what i have realise ni kama naogopa nikihama ntakuwa nimepoteza muda mwingi sana kwake, Lakini pia, Huyu binti ni bikra, labda kweli anaogopa.

Nawaza miaka yote namsubiri, halafu nimuache, atokee mwingine avunje glass ambayo mm niliishia kuishika tuu?

She Look honest, Friendly but mpaka Leo hanipi mchezo, kuchepuka natamani lakin si mjuzi sana wa hit n Run, nahisi nitakamatwa tuu.

Nampenda, Lakini anachonifanyia sio sawa, Mapenzi na sabuni, Lotion, kutoboa godoro, Nimechoka. Nikiwaza sana, nahisi kama nachanganyikiwa.

And am serious... INANINYIMA RAHA. Chuo nilikuwa namwandikia Project zake zote, Field report zake nimefanya Mimi. Na zote alifauli kwa kiwango cha A. Lakini Papuchi sipewi, kuna kipindi kuna masomo ambayo mm sikuwa nasoma ila yy, yalikuwa yanamsumbua, Nikaanza kusoma notes ili nimuelekeze, yote kumjali na kumpenda, Papuchi No. Sasa maji yamefika shingoni, Naona nazeeka, Ujana unanipita, ninaempenda she is taking me for Granted.

This is not Fair.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom