Walimu wana kazi, basi tu.Mapaka shule zifunguliwe tutaona mengi humu mjengoni.
Pamoja na walimu kupata kazi na ndo wasomi wa badae na ndo waleta maendeleo wa badaeWalimu wana kazi, basi tu.
mimi binafsi nilimlilia msichana nilipokuwa na miaka 16 ingawa baada ya hapo sikuwahi kulia tena kwa sababu ya suala kama hilo, hivyo kulia ni kawaida tu kwa yeyote.Mapenzi yanawatesa maboya waliyoyazibukia ukubwani,ila sisi makonkodi hatunaga upuuzi wa kupenda kitamthilia hvyo.
Eti unakuta dume zima linamlilia mwanamke,hivi kweli utaweza kuwa baba wa kuhimili changamoto za familia kama tu mapenzi yanakucontradict?
Bado mna Penda tu?
Ndio maana matukio ya kuchora mazombi kwenye mitihan hayaishi maana akili zao tunazionaMapaka shule zifunguliwe tutaona mengi humu mjengoni.
Achana nae tu ukiona ivyo yeye ana type zake kaka tulia na uyo alietayar kufa na wewyani kuna binti ananipenda sana na yuko tayari kufanya lolote lile coz of me but me hata simpendi kabisa.cha kushangaza na mimi binti anaenidrive crazy hamfikii uzuri huyu nisiempenda.kwa kweli nadiriki kusema sanaa ya mapenzi is very complicated coz umpendae hakupendi na akupendae humpendi.