Mapenzi hayazuiliki

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Jamani ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa mambo ya mhim na yanayo washughulisha sana watu wakiwemo wanafasihi ni mapenzi.

Mapenzi yalikuwepo miaka millio kadhaa iliyopita kabla ya kristo,na hata baada ya masihi.

Ni kweli kuwa mapenzi ya sasa yamebadilika mno,uzuri wa mapenzi ya sasa ni:

1 Mapenzi ya sasa mwanamke hashinikizwi yupi ampende,

2 Mapenzi yamekua ya maliziano kuliko ubabe,

3 Uchumba ni sehem kuu ya ndoa.

Ubaya wa mapenzi ya sasa ni kuwa

1 mapenzi hayadumu kama zamani,

2 mapenzi yametawaliwa ni uchepukaji,

3 Uchumba umekua hauna mwelekeo wa ndoa.

Turudi kwenye mada yetu,napenda kukili kuwa hata siku moja sijawahi kuyachukia mapenzi.

Mapenzi yamekua ni dhamira kuu inayo washughulisha wasanii wa kazi za kifasihi hii ni kutaka kusadifu umuhimu wa dhima hii ya mapenzi na ndoa.

Mapenzi yakisawilika kwa ukamilifu wake tunaweza kuwa na jamii, familia na hata dunia yenye furaha,amani na utulivu.

Bila kuficha ninawachukia mno mashoga,makahaba na wale wote wasio thamini mapenzi na kujua umuhimu wa jinsia nyingine.
 
asante kwa kuyaelezea mapenzi ila uandishi wako ni changamoto kaka vifupisho vingi mno si uandike kwa kirefu tu?
 
asante kwa kuyaelezea mapenzi ila uandishi wako ni changamoto kaka vifupisho vingi mno si uandike kwa kirefu tu?

Changamoto ndio uandishi wangu ila sio uandishi wangu ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…