Nimekusikia MKE WANGU, hata yule binti wetu wa kidato cha kwanza tusimuingilie katika mapenzi yake na yule muuza genge, si unakumbuka dada yake hatukumuingilia katika mapenzi yake na yulu muuza mitumba, alipofika kidato cha tatu takajaaliwa mjukuu na sasa mwanetu ni mama ntilie mashuhuri hapa mjini.