kipolo cha ubwabwa kinapashika vizuri tuuu!ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid. je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana
Jaribu kuwa na marafiki wengi zaidi wa kiume (Simanishi wapenzi), kuwa nao "Busy" kati yao lazima kuna mmoja atakusahaulisha tu na utakuwa safi.
coz kama ulivyosema kuwa kumsahau ni ngumu bt ungejaribu kutueleza sababu ilikuwa nn kilichofanya muachane so hata cc humu jf tutakuwa na uwanja mkubwa wa kukupa mbinu mbadala kijana.

ya mi dadaaaa
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana
umenikumbusha mbaaaaali!!!miaka hiyoo nilipatwa na mkasa kama wako!!nikayachukia malovee na sikutaka kuanzisha mahusiano mengine tena!ikapita 2years kama wewe vile,nilikuwa namuota na kuwaza kila dakika!roho iliuma mfano hakuna!!ndugu na marafiki wote walishindwa kuturudisha pamoja!ahahaha.
Mwisho nikakata tamaa ikawa sipokei zake wala sms sijibu,nikawa na hasira kwelikweli juu yake mwishowe nikahamia kwa sister wangu mkoa mwingineee!
Wiki tatu baada ya kuhama nikashangaa bwana mkubwa huyu hapa mlangoni na am sorry kibao!blah blah zikaendelea miezi miwili mbele tukafunga ndoa.
Mpaka leo namuuliza ilikuaje ukarudi tena hanijibu zaidi ya kua mkali kama pilipili ili usimuulize tena maswali ya namna hiyo.
Unaweza ukatokewa na miujiza kama wa kwangu,usikate tamaa dada penzi la kweli halifi.
Dah! Sory nilikujibu nikidhani ni mwanaume, ngoka niifute post yangu haraka.
coz kama ulivyosema kuwa kumsahau ni ngumu bt ungejaribu kutueleza sababu ilikuwa nn kilichofanya muachane so hata cc humu jf tutakuwa na uwanja mkubwa wa kukupa mbinu mbadala kijana.
ni mwaka wapili now toka tuachane na mpenz wangu but nashindwa kumsahau. kunakipindi nilimpotezea kabsa nisimkumbuke coz ananitesa sana moyon but nmeshindwa. na alinambia amenisameee but hatuweza rudiana tena
but huwa ananipigia cmu kunisalimia na ndo ananifanye nimkumbuke zaid.
je nifanyeje may b nimsahau kabsaaa. japokuwa inanipain sana
dada yangu cha kukushauli ni kufanya shughuli unazozipenda binafsi mimi napenda kucheza na kuangalia mpra znaniondolea stress so nakushauru penda kufanya shughuli ambazo znakufurahisha na kukuweka bize, ckushauli kuckilza music itakupa mawazo, fanya shughuli ambazo zitakuhangaisha
ya mi dadaaaa
ngoja nitangaze nia ili nikusahaulishe huyo aliyepita
mmmmmmmhhhhh