Asante kwa kunisanua nitalifanyia kazi hilo.Usioe kaskazini au Tarime
Hao wanafaa mkuu, upande wa pwani nawatumbua ila huko kusini sina ufahamu napo.Ila pia makinika na pwani na kusini.. Huko mafiga matatu ni utamaduni
Ushawahi fumaniwa lo????!!!!!
😀Hapana sijawahi na kwa nini nifumaniwe...Ushawahi fumaniwa lo????!!!!!