Ina maana hujui kuwa 'mapezi yanarun dunia?'Hivi bado kuna watu wanawazaga mapenzi
You Are Genious Japo Hata SikujuiKama wewe wa kiume na mwanamke ndo anaenda chuo kwa maoni yangu itapendeza huyo mwanamke /mdada akitinga chuoni akiwa na damu yako tumboni (mimba )
Hivi bado kuna watu wanawazaga mapenzi
Ina maana hujui kuwa 'mapezi yanarun dunia?'
inaelekea uko SMART sana, mimi huwa nashangaa vijana wanapohangaikia haya mamboHivi bado kuna watu wanawazaga mapenzi
Acha Kumdanganya mwenzioinaelekea uko SMART sana, mimi huwa nashangaa vijana wanapohangaikia haya mambo
another geniusHivi bado kuna watu wanawazaga mapenzi
Usijichekeshe wakati imekuchoma mkuu..hahahahahahahahahha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina shida mkuu.. nitatembea zangu mbele kuna maisha baada ya mapenzi.