yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,917
- 4,170
Na yeye asubiri yake yavunjwe tu hakuna namna.Salaam wakuu.
Nijuavyo mimi watu huingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ili kupata faraja, hivyo hutegemea kupata furaha na kuwapa furaha wenza wao. Wengine wamekuwa wakifanikiwa katika hilo na wengine mambo yanaenda kombo.
** Kitu kingine, huyu jamaa alipoanzisha mahusiano na huyu demu alimkuta akiwa na jamaa mwingine, akafight kuvunja mahusiano hayo alijitahidi kwa kiasi flan kama kumbadilishia demu namba za simu na kumwambia ampigie simu jamaa kumueleza kuwa hamuhitaji tena. sababu amenichosha kwa kuomba ushauri. Naamini hapa nitapata madini ya maana nimpelekee kama yalivyo.
Hahahaa wanaita mapinduziNa yeye asubiri yake yavunjwe tu hakuna namna.
No hapa hapa jijiniWahusika wa hii story wanaa Kijijini si ndio
Kweli kabisa. Nadhani ana mpango huo ndo maana anakuwa king'ang'aniziSi amchukue aishi nae (amuoe,) mpk hapo hana haki zozote juu ya huyo binti na anaweza kupigwa mapinduzi ya kijani mda wowote. Mwambie kama anampenda aishi nae
Mpango sio ishu, utekelezaji hamna ndo maana ana stress. na aliharibu mahusiano ya huyo dada hatakuwa na amani maana mwizi akiibiwa yeye anaona kaibiwa zaidi anajua vimbinu alivyotumia ndo maana anapanic panicKweli kabisa. Nadhani ana mpango huo ndo maana anakuwa king'ang'anizi
Mwambie huyo rafiki yako atafute kazi ya kufanya imuingizie kipato, mwanamke hachungwi anajichunga mwenyewe. Wanawake wengi wanapenda mtu anaewafuatilia na mwenye wivu kiasi fulani ila ikizidi unaonekana mjinga. Akiwa busy na kitu fulani, swala la kufuatilia mwanamke wake atagundua ni la kipuuzi sana.
Asante.
Kazi anayo. Lakini mimi nashangaa hili suala linamchukulia muda kweli.Jamaa yako hana kazi nini