B DOZEN B52
Member
- Apr 22, 2014
- 28
- 1
Kuna kidada kimoja kilipata bahat ya kukutana na mi superstar lakn cha ajabu kinaomba mgegedo wakat nakiona kama hakiko sawa kiakili na kimavaz kitanishusha ubora sijui nifanye vp wakat mie big name mtaan kwet , na sasa kaweka vitisho vya kutushia eti nikigoma nitakiona bahat mbaya nasikia kwao ni wizard cana.