Mapenz Mapenz gani?wanawake ndio nini haya?

Mapenz Mapenz gani?wanawake ndio nini haya?

Van dick

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
223
Reaction score
43
Nina mke Wa ndoa 2yrz now!haniridhish kabisa.kwanza mvivu tangu ya kumuoa hachukulii tendo Kama sehem ya wapendanao,kila Mara uanze ww kumchokoza hlf ataanza kwa ukali nakukujbu nimechoka tulale had unamwogopa kumuanza.mwke ametoka mwezn inampasa awe 1st kukuchokoza kwake hapana.akiwa safarin anakumiss cku akrud ukiomba mchezo pa2pu.msaada m2mzma...!
 
mkuu mkeo ana profession gani??

naomba nijuzwe hilo tu....
 
Ngoja waje, wapi dr. mzizimkavu karibu kwaharibika jamaa atakimbilia michepuko.
 
IN THE LONG RUN SEX WITH THE SAME PARTNER GETS BORIIIIIIIIIIIING!!!!!!!!!!!!! Labda mwenzetu mambo huyajui, UNALIMA HASWAA ILE MKULIMA HACHAGUI JEMBE, UNASIMAMIA BASKELI, Khaaaaaaaaaaa! Ukitoka hapo panawaka oto inabidi mwenzio akajipoze na maj baridi. In the short run hawezi kujua how much you su.ck kwenye performance ila baada ya kuishi na wewe kagundua udhaifu wako. Unadhani show/shuruba ataichokoza? Thubutuuuuuu! Atakwepa tu akwepavyo!!!!!!!!!!

NEVER TO LATE TO LEARN! Jifunze mambo ya sukari za warembo, fore play, et al. Utaona tofauti.
 
Mwanaume anaejua mambo hata kuomba haombi mnajikuta mpo hoi wote.
 
kama ni toka mwnzo ulipokutana nae alikuwa hivyo hivyo basi kuna mawili,inawezekana wewe hujui mambo ya mahumburg na majuice au alibakwa utotoni au alibakwa wakati anafanywa kwa mara ya kwanza.....
 
Njoo nikufanyie Training labda ujuzi umeshuka......
 
Maelezo uliotoa ni machache...
Jaribu kufafanua vizuri
Tabia ilianza lini, au nini kilipelekea tatizo hilo...

Ili tujue upande upi ndo wenye tatizo.
 
kama ni toka mwnzo ulipokutana nae alikuwa hivyo hivyo basi kuna mawili,inawezekana wewe hujui mambo ya mahumburg na majuice au alibakwa utotoni au alibakwa wakati anafanywa kwa mara ya kwanza.....
Kunauwezekano mkubwa hapa maana nitaanzia hapa kulifanyia kaz.thanx
 
Unajua kweli kulima mkuu au waishia tu kulalama ardhi ngumu?
 
kama ni toka mwnzo ulipokutana nae alikuwa hivyo hivyo basi kuna mawili,inawezekana wewe hujui mambo ya mahumburg na majuice au alibakwa utotoni au alibakwa wakati anafanywa kwa mara ya kwanza.....

Mkuu hapa nahisi inaweza kuwa kweli, mimi Ex wangu alikuwa hivi hivi, sex kwake ilikuwa kitu ngumu sana lakini baadaye nilikuja kujua kuwa alibakwa wakati anafanywa kwa mara ya kwanza, thus akawa anachukia sex. So it happens, it happened.
 
Njoo nikufanyie Training labda ujuzi umeshuka......
Andika bana wanawake chanzo cha michepuko yn hapa anaivuruga hata Imani yangu jua nn mwme maumbile yanahitaj Mara 2-3 kwa wik ss ukmpata Kama my wife wangu sielewi.nataka nianze kamchezo Na housgirl nshaanza kukisogolea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom